Wale Wanaoasi
$10.99
Buy on Amazon View on Apple BooksPrefer it in print? See every format on Amazon →
Price on Apple Books. Amazon’s price may differ.
- Published
Description
Uasi si kosa tu - ni kosa kubwa machoni pa Mungu! Uasi ni roho inayokaidi mamlaka na kwenda kinyume na utaratibu uliowekwa na Mungu. Ni mzizi wa machafuko na unaweza kukuongoza kwenye kiza kinene cha maisha na huduma, ikiwa utairuhusu katika maisha yako!