UMEZALIWA USHINDE
115,00 kr
Köp på Amazon Visa i Apple BooksHellre på papper? Alla format hos Amazon →
Pris i Apple Books. Priset på Amazon kan skilja sig.
- Utgiven
- Genrer
- Religion och andlighet
Beskrivning
Nilikuwa nafundisha mfululizo wa semina Januari 1984, ndipo Mungu aliposema nami wazi wazi kabisa kuhusu hatua ya kuendea katika ushindi. Nilienda moja kwa moja kwenye maandiko ili kuthibitisha msingi wa kibiblia kwa ajili ya ushindi binafsi katika changamoto ya mtu binafsi. Ukweli uliofunuliwa katika kitabu hiki ni matokeo ya kusoma huko. Nimeendelea kuhubiri mambo haya na matokeo yake yamekuwa yasiyoweza kulinganishwa. Kwa shuhuda kubwa sana za ushindi katika nyanja zote za maisha kwa wale waliosikiliza na wakajali kuzitendea kazi. Neno linatenda kazi kuliko mazingaombwe na mazingara.